Afisa Uandikishaji Wilaya Bw.Dismas Pesambili amefungua mafunzo ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kuhusu uboreshaji wa Daftari wa kudumu ambayo yafenyanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mpwapwa Sekondari Disemba 23,2024.
Kwa upande wake Mratibu wa Uandikishaji Mkoa Ndg.Mduma amewataka washiriki wa mafunzo hayo kuzingatia wanachofundishwa ili kuweza kuepuka kuharibu kazi watakayoenda kuifanya kwani wao ndio ndio watendaji wakuu wa kazi hiyo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.