Jumla ya wanavikundi mia moja na kumi na sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wanategemea kunufaika na Mkopo wa asilimia 10 %kwa vikindi vya Wanawake,Vijana na Watu wenye Ulemavu,leo Novemba 26,2024 wamepokea hundi ya Fedha ya Sh.148,363,550 kwa ajili ya kupatiwa Mikopo hiyo waliyoomba yenye lengo la kuendeleza Shuhuli mbali mbali na kuweza kujiingizia kipato kitakachoweza kuleta faida na kuweza kurejesha malipo kwa haraka.²
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya Mh.Dkt Sophia Mfaume Kizigo ametoa agizo kwa Mkurugenzi na Halmashauri yake ni kuhahakikisha wanawafatilia katik biashara zao ili wasikwame lna waweze kufanikiwa katika biashara hizo na iwe rahisi kurejesha deni lao.
Mwisho amewaasa wana vikundi viache migogoro mara tu baada ya kupewa mikopo na badala yake watumie mikopo hiyo kuwaendeleza kimaendeleo ili waweze kufikia lengo,na kuwaombea mafanikio ili waweze kufanikiwa na kukwamukwa kiumaskini.
Hafla hiyo imefanyika kati
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.