Vijana Concert(Tamasha la Vijana) limefanyika Septemba 28,2024 katika Jimbo la Kibakwe wilayani Mpwapwa kwa lengo la kuhamasisha vijana juu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Kutunza Mazingira,Kujiepusha na matumizi ya madawa ya kulevya na kujikinga na kuepukana na UKIMWI.
Tamasha hilo lilisindikizwa na Bonanza la Mchezo wa Mpira wa Miguu pamoja na burudani mbali mbali kutoka kwa wasanii nchini.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.