Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Mhe Gerge N.Malima amefungua rasmi Zahanati ya Makutupa iliopo kata ya Lupeta katika kijiji cha Makutupa iliyojengwa kwa kuanzishwa na nguvu za Wananchi wa kijiji hicho,fedha kutoka mfuko wa jimbo Shilingi 2,000,000 na kumalizia na Shilingi 50,000,000 kutoka Serika Kuu.
Katika ufunguzi huo Mh Malima amewataka Wananchi wa kijiji hicho kuitunza na kuithamini Zahanati hiyo kwasababu imeenda kuleta mageuzi makubwa ya huduma ya afya kuwa karibu nayo ukilinganisha na awali.
Ufungunguzi wa Zahanati ya Makutupa umefanyika Januari 30,2026 katika kijiji cha Mqkutupa.











Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.