Mratibu wa elimu ya afya kwa Umma na bima ya afya kwa wote Dr Majaliwa Buruna ametoa elimu ya bima ya afya kwa wote kwa Madiwani na Wanabchi wa Halmashauri Januari 30,2026 katika Ukumbi wa Halmashauri.
Dr Buruna amefafanua namna ya kujiunga na bima kwa kuelezea gharama na kiwango cha kujiunga ni Shiling 150,000 kwa wanufaika sita kutoka kwenye familia,na ikiwa familia itakuwa na zaid ya watu sita ,inatolewa nafasi nyengine katika kaya iyo kuundwa kaya mbili ambazo zote zitaweza kupata huduma hiyo.










Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.