Timu ya ukaguzi kutoka Mkoani Septemba 12,2025 wamefanya ziara ya kutembelea mradi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri linaloendelea kujengwa katika eneo la Mmbuyuni,na kukagua jengo hilo huku wakipata maelekezo ya hatua za mradi ulipofikia kutoka kwa Engineer Ndongolo ambae ndie msimamizi wa mradi huo,pamoja na maelekezo ya mradi pia wameweza kishauriana baadhi ya changamoto zilizojitokeza kwenye jengo hilo na kuamulika kwenda kutafutiwa ufumbuzi zaid kwa wataalam wa juu.
Mradi wa ujenzi wa Ofisi mpya ya Halmashauri upo hatua ya pili kimkataba.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.