Timu ya ukaguzi wa miradi ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru ifikapo Aprili 27,2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikiongozwa na Mratibu wa mbio za Mwenge Mkoa Dk:Nassor Matwiza
Miradi iliyokagulia ni ya Kilimo,Afya,Miundombinu,vijana Utawala na Maji.
Aidha timu hiyo ilipongeza kwa hatua mbali mbali zilizofikiwa katika miradi na kusisitiza kufanyia kazi maboresho waliyoyatoa ili miradi hiyo ikamilike kwa haraka.
Ziara hiyo imefanyika Machi 02,2025 katika Wilaya ya Mpwapwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.