Shirika lisilo la kiserikali linalojishuhulisha na maswala ya lishe Nchini "SANKU" likiongozwa na Bw.Gwao.O.Gwao na Bi. Paula Kawiche wametembelea wilayani Mpwapwa kukagua na kujionea namna Mashine za uongezaji wavirutubisho kwenye Unga wa Ugali zinavyofanya kazi.
Mashine za kuongeza virutubisho vya unga hufungwa kwenye Mashine za kusagia nafaka baada ya nafaka kusagwa husambazwa na kutumiwa na jamii mbali mbali wakiwemo Wanafunzi na Wananchi wa kawaida kwa lengo la kuongeza Lishe.
Matembezi hayo yamefanyika Novemba 19,2024 wilayani Mpwapwa
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.