Mkuu wa Mkoa wa Dododoma Mhe Rosemary Senyamule ameendelea na ziara yake ya kikazi wilayani Mpwapwa Novemba 21 kwa lengo la kukagua utekelezaji wa Miradi ya Kimaendeleo,wakati wa ukaguzi wwa Miradi hiyo mhe.Senyamule amewataka wasimamizi wa miradi kuengeza kasi zaidi ili kusaidia miradi kumaliza kwa wakati uliopangwa.
Mradi uliotembelewa ni wa Shule ya Sekondari Mbuyuni inayogharimu kiasi cha Shilingi 554,252,626.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.