Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule kila mmoja ana wajibu wa kusimamia kikamilifu fedha za miradi ya kimaendeleo.
Mh.Senyamule ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Ngambi kata ya Ngambi wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa
miradi ya kimkakati na kuongea na wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa iliyofanyika Januari,17 2024.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.