Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary S.Senyamule amefanya ziara ya kikazi wilayani Mpwapwa na amekabidhi gari aina ya TOYOTA HILUX kwa wakal wa Majia Vijijin RUWASA lenye tamani ya sh154,416,7000 kutoka Serikali kuu.
Tukio la makabidhiano hayo limefanyika Novemba 6,2024 katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.