Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary S Senyamule amefanya ziara ya kikazi wilayani Mpwapwa Septemba 25,2025 kwa lengo la kukagua miradi ya kimaendeleo inayaoendelea kujengwa wilayani humo.
Mhe Senyamule amekagua Bweni la Wasichana na Wavulana katika Shule ya Sekondari Kimagai 'A' na Ujenzi wa jengo la Ofisi mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa linaloendelea kujengwa Mbuyuni.





Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.