Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpwapwa na Kibakwe Ndg Eliaichi R Macha leo Agosti 26,2025 amewakabidhi fomu za kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa na Kibakwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Ndg George Natany Malima wa Jimbo la Mpwapwa na Mh George Simbachawene wa Jimbo la Kibakwe.
Zoezi hilo la makabidhiano limefanyika katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpwapwa na Kibakwe iliopo katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.