Msanii nguli wa kughani mashairi ametumbuiza katika zoezi la uzinduzi wa tovuti za Mikoa na Halmashauri zote nchini zoezi lililofanyika katika viunga vya Hazina Mkoani Dodoma leo tarehe 27.03.2017, ambapo amewataka wananchi watumie tovuti hizo katika kuwasiliana na viongozi wao hususani katika kuwasilisha kero mbali mbali zinazowakabili ili kero hizo ziweze kutatuliwa na hatimaye kuboresha upatikanaji huduma. Amesema kuwepo kwa Tovuti za mikoa na Wilaya na fursa muhimu katika kupashana habari na wananchi watumie simu za kiganjani katika kuwasiliana kwa kuingia katika tovuti husika.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.