Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi H Ally akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi kazi (Country Director)wa Shirika la KOFIH Korea Foundation For International Health Care la Nchi ya Korea linalotekeleza Mradi wa kuboresha Afya ya uzazi na mtoto,na wakikabidhiwa gari(Ambulance) ya kituo cha Afya Pwaga iliyofadhiliwana Shirika la COFIH Agosti 9,2024.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.