Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Dkt Sophia M.Kizigo akipokea cheti cha pongezi kwa utekelezaji mzuri wa viashiria vya lishe wilayani humo,amekabidhiwa cheti hicho na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule Agost 28,2024 wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Julai 2023 hadi Juni 2024 kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.