Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikiambatana na Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwananahamisi H Ally pamoja na watumishi mbali mbali imeadhimisha siku hiyo kwa ya Januari 27,2025 kwa kupanda miti 185 katika eneo la wazi la Mji Mpya ili kuendeleza uhifadhi wa mazingira.
kumbukizi hii kwa Mkoa wa Dodoma inaongozwa na kauli mbiu ya' Mti wangu Birthday yangu'
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.