 Posted on: April 27th, 2025
 
            Posted on: April 27th, 2025
Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru leo Aprili 27 katika Halmashauri ya Mpwapwa kijiji cha Ng'hambi.
	
	
Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo kutoka Dodoma Jiji na kupokewa na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh Dkt Sophia M Kizigo na kukimbizwa kuzinduliwa na kuwekwa Mawe  ya Msingi katika miradi mbali mbali ya kimaendeleo.
	
	
Mwenge wa Uhuru umekimbizwa na jumla ya kilomita 234 ukishindikizwa na kauli mbiu isemayo
	
	
"Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"
	
	









 
  
          
                              
                              
                            Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.