Wadau wa Compassion Carbon (Hewa Ukaa)wamefanya kikao cha kupitisha mipango ya usimamizi wa misitu Septemba 10,2025 katika Ukumbi wa Elimu Sekondari.
kikao hicho kilicholenga kupitisha mpango huo kwa ajili ya matumizi bora ya ardhi na mipango ya usimamizi wa misitu,mipango hiyo imefanikiwa katika Vijiji vitatu ambavyo ni kijiji cha Mbuga,Galigali na Igului ili hatua ya Utekelezaji ianze kwa haraka.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.