Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Dkt Sophia Mfaume Kizigo ametembelea Stesheni ya SGR iliyopo katika kijiji cha Gulwe Wilaya ya Mpwapwa kwa Lengo la kukagua na kuangalia maendeleo ya Stesheni pamoja na fursa za kiuchumi kwa Wananchi.
Haya yote ni maandalizi ya ufunguzi wa Treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassani Agosti 1,2024.
Ziara hii imefanyika Julai 29,2024
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.