Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amekagua ujenzi wa vituo vya afya unaoendelea katika kata za Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Katika ukaguzi huo Mkuu wa Wilaya amejionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika ujenzi wa vituo hivyo vya afya ambavyo vyote kwa ujumla vipo katika hatua ya ukamilisho.
Aidha, Mhe. Shekimweri amepongeza kazi nzuri iliyofanyika na kihimiza usimamizi wa pamoja ili kukamilisha kwa wakati ili huduma huduma za afya zianze kutolewa.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri (wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kukagua Kituo cha Afya kinachojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa kikosi cha Mpwapwa katika kata ya Mpwapwa Mjini (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Jengo la wagonjwa wa nje (Out Patient Department) likiwa katika hatua ya ukamilisho katika Kituo cha Afya Kibakwe (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Majengo ya Kituo cha Afya cha Kibakwe yakiwa katika hatua ya ukamilisho katikakata ya Kibakwe (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Jengo la wagonjwa wa nje (Out Patient Department) likiwa katika hatua ya ukamilisho katika Kituo cha Afya Pwaga (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Majengo ya Kituo cha Afya cha Kibakwe yakiwa katika hatua ya ukamilisho katikakata ya Kibakwe (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Moja ya jengo la kituo cha Afya- Pwaga likiwa katika hatua ya ukamilisho katika kata ya Paga (Picha: Theodory Mulokozi - Afisa Mazingira, Mpwapwa)
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.