Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemarry Senyamule amekabidhi magari kwa Wakuu wa Wilaya ya Mpwapw,Chemba na Kondoa,Julai 18,2024 katika Ofisi yake iliopo jengo la Mkapa Jijini Dodoma
Mhe.Senyamule amesema Mkoa unaendelea kuona namna mikakati ya Nchi inavyotekelezwa ikiwa ni pamoja na kutatua kero za Wananchi,na ndio sababu kuu iliopelekea ugawaji wa vitendea kazi hivyo kwa wakuu wa Wilaya ambao hawakuwa navyo ili kuendeleza kazi za Serikali na kuwafikia Wananchi kwa haraka zaid.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.