Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi. Mwanahamisi H.Ally amehudhuria Kongamano la Kitaifa la utoaji wa chakula na Liashe Shuleni lililofanyika Julai 26,2024 katika Hotel ya Morena Dodoma.Mgeni rasmi katika Kongamano hilo ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Technolojia Profesa Adolf Mkwenda.
"Huduma ya chakula na Lishe Shuleni kwa Afya na Elimu Bora" ndio kauli mbiu iliyoendesha kongamano hilo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.