Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi Mwanahamisi H Ally ameungana na Wananchi wa Kata ya Mpwapwa Mjini siku ya Samia Day kusherehekea mafanikio ya Uongozi wa awamu ya sita na kuelezea kwa kina yaliyofanyia katika Kata hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Mh Dkt Samia Suluhu Hassan.
Sherehe hiyo imefanyika Juni 03,2025 katika kiwanja cha Ng'ambo kilichopo Mpwapwa Mjini.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.