Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 wilayani Mpwapwa umepita tarehe 20.06.2017 ambapo pamoja na mambo mengine umepitia miradi 8 yenye thamani ya sh. 1,548,125,704.50. Kati ya hiyo, Miradi 3 yenye thamani ya sh. 149,700,000.00 ilitembelewa, Miradi 3 yenye thamani ya sh 866,759,704.50 iliwekewa mawe ya msingi, miradi 2 yenye thamani ya sh. 531,666,135.00 ilizinduliwa. Miradi hii imetekelezwa kwa ushirikiano wa Serikali Kuu, Halmashauri ya Wilaya, Wadau wa Maendeleo na jamii.
Kwa matukio Zaidi na Risala ya Utii kwa Mhe. Rais Fuata Linki Hii: http://www.mpwapwadc.go.tz/gwfcms/gwf/events/eventscontroller/update/12
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.