Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Dkt.Sophia Mfaume Kizigo ameongoza kikao cha maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya Julai 31,2024 na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wawakilishi wa vijana na kina mama,watendaji,wazee wa kimila,na watumishi wa umma.
Katika kikao hicho wadau waliwasilisha maoni yao juu ya dira ijayo ya mwaka 2050 katika nyanja mbalimbali zikiwemo Kilimo,Ufugaji,Uongozi bora,Elimu,Sanyansi na Teknolojia,Miundo mbinu,biashara na Elimu jumuishi.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.