Uchaguzi serikali za mitaa.
Makundi mbalimbali Katika Jamii ya wilaya ya Mpwapwa wametakiwa kuunganisha nguvu Katika uhamasishaji wa jamii juu ya kujitokeza katika kujiandikisha Katika daftari la kupiga kura
Kwa upande wake Afisa uchaguzi Halmashauri ya Mpwapwa Bwana Thomas Magali amesema Katika zoezi Hilo linalotarajiwa kuanza Siku ya ya tarehe 11 octoba Hadi 20 octoba 2024 wanatarajia kuandikisha watu wapatao lakimbili elfu ishirini na Tano na arobaini na Moja elfu.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 utakuwa ni uchuguzi wa awamu ya saba tangu kuanzishwa Kwa uchaguzi wa VYAMA vingi hapa Nchini na zoezi Hilo linatarakowa kufanyika 27.Novomber 2024. 20 octoba 2024 wanatarajia kuandikisha watu wapatao lakimbili elfu ishirini na Tano na arobaini na Moja elfu.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 utakuwa ni uchuguzi wa awamu ya saba tangu kuanzishwa Kwa uchaguzi wa vyama vingi hapa Nchini na zoezi Hilo linatarajiwa kufanyika 27.Novemba 2024.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.