Mapema Leo, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mpwapwa ameendesha mafunzo kwa makarani waongozaji wa vituo vya kupiga kura ikiwa ni hatua muhimu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mafunzo hayo yamefanyika Oktaba 15,2025 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mpwapwa yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo makarani wakufanya kazi yao hiyo kwa weledi na werevu.
Makarani hao pia wameapishwa rasmi Kwa kula kiapo cha kutunza siri, pia wamehimizwa kuwa waadilifu, na kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa haki, amani na uwazi.





Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.