Wazee wa Mkoa wa Dodoma kutoka Wilaya za (Mpwapwa,Chamwino,Bahi, Kongwa,Chemba na Dodoma jiji) Wamehudhuria Kongamano la wazee lililofanyika Wilayani Mpwapwa katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mpwapwa.Maada zilizofundishwa katika Kongamano ni pamoja na Lishe Endelevu,Uhuhimu wa Chanjo ya UVIKO19,umuhimu wa kutoa Wosia na Mirathi pia elimu juu ya umiliki wa Ardhi.
Mratibu wa Chanjo wa Wilaya ya Mpwapwa Ndugu Fulgence Temu ametoa elimu ya umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 kwa wazee na kuwakumbusha kuzingatia tahadhari zote zinazotolewa ili kuepuka kuambukizwa .
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.