Kikao cha kamati ya Lishe Robo ya pili (octoba _Disemba 2024) kikiendeshwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpwapwa Bi. Mwanahimis H. Ally,kimefanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa
Hata hivyo Afisa lishe wilaya Eliwaza Ndau ametoa wasilisho la taarifa ya utekelezaji wa Viashiria vya Mkataba wa lishe kwa kipindi cha oktoba na disemba 2024 na kuonesha ongezeko kubwa la watu wamjini kuwa na uzito uliozidi na kushauri kuepukana na vyakula vinavyoongeza uzito mwingi.
Ikumbukwe "kuwa Lishe sio kujaza tumba bali kuzingatia unachokula"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.