Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Kaspar Mmuya ametembelea baadhi ya vituo vya Uandikishaji wa daftari la Wapiga kura Wilayani Mpwapwa pamoja na kuwahamasisha waandikishaji kuifanya kazi yao kwa uweledi na kutumia mbinu zaid ili wafikie lengo walilojipangia ifikapo Oktoba 20,2024 ambayo ndio siku ya mwisho ya zoezi hilo LA Uwandikishaji.
Ziara hiyo imefanyika Leo Oktoba 17,2024 Wilayani Mpwapwa na kufanikiwa kupitia vituo kumi vya Uandikishaji wa Daftari la wapiga kura kwa Kuanzia Kata ya Ng'ambi na kumalizikia kata ya Mpwapwa Mjini.
#TAMISEMI
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.