Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H.Ally ameongoza zoezi la kufanya Usafi katika eneo la Hospital ya Wilaya akiwa na watumishi wa Serikali pamoja na Wananchi wa karibu wa eneo hilo, ikiwa ni Maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Aprili 26,2025.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.