Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H Ally ameongoza kikao cha kamati ya Bajeti leo Januari 6 2024 katika Ofisi za Halmashauri.
Kikao hicho cha kujadili bajeti ya Mwaka 2025/2026 Kimewasilishwa na Afsa Mipango ambae ni Mkùu wa Idara ya Mipango Bw: Dismass Pesambili na kuelezea kuwa lengo kuu ni kujadiliana na kupanga pamoja na kuwasilisha maèlezo ya bajeti hiyo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.