Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi.Mwanahamisi H.Ally ameshiriki chakula cha pamoja na watahihiniwa wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Mpwapwa Agosti 3,2024.
Lengo kuu la ushiriki wa chakula cha pamoja na watahiniwa hao ni kuwatia moyo na kuwajenga morali kabla ya kufanya mtihani wao wa Taifa,kuwaelekeza Wanafunzi kutozingatia baadhi ya maelekezo ya baadhi ya wazazi/walezi ya kuwataka kufanya vibaya mtihani wao kwa lengo la kujifelisha,Viongozi wa dini kuwaombea na kuwatakia Baraka za kufanya vizuri kwenye mtihani wao.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.