Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Dkt Sophia Mfaume kizigo amemamaliza ziara yake ya kutembelea miradi ya kimaendeleo na kusikiliza kero za Wanachi pamoja na kuzitatua katika kata ya Lufu,Luhundwa na Lukole.
Katika ziara yake hiyo,katika kata ya Lufu amekagua mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari lufu wenye thamani ya Shilingi Milioni Mia mbili,katika kata ya Luhundwa amekagua upimaji wa eneo litakaloje Shule ya Sekondari Luhundwa ambapo ujenzi huo utagharimu Shilingi Million mia tano na kata ya Lukole ametembelea Shule ya Sekondari Kingiti ambayo mradi wake wa ujenzi umekamilika na kuanza kutumika.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.