Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa leo Agosti 25,2025 amemaliza ziara yake ya kukagua miradi ya kiamendeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi kwa Kata zote 33 za Wilaya ya Mpwapwa kwa kumalizia na kata ya Galigali,Mbuga na Lumuma na kukagua i,Nyumba ya Watumishi (walimu )2 in 1,Vyuma 4 vya Madaras na jengo la Zahanati liloopo kijiji cha Igului kata ya Mbuga.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.