Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo leo Agosti 20,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Mpwapwa na kukagua miradi wa Maji (RUWASA)katika kata ya Godegode Kijiji cha Kisisi
_Ujenzi wa mabweni katika Shule ya Kimagai A
_Ukamilishaji wa Zahanati katika kijiji cha Kimagai
_Ujenzi wa vyumba sita na matundu nane ya vyoo ya Shule ya Sekondari Ving'hawe
_Ujenzi wa Ofisi wa Mkurugenzi Mmbuyuni
_Ujenzi wa vyoo vya Shule ya Msingi Mount igovu
_Ujenzi wa matundù kumi ya vyoo ya Shule ya Sekondari Mwanakianga
Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao na kuzitolea utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.