‘MKOA WETU VIWANDA VYETU’
Menejimenti ya Wilaya ya Mpwapwa imeandaa mapendekezo ya Mpango unaolenga kutekeleza Mkakati wa kuanzisha Viwanda vidogo na vya kati vipatavyo 30 ifikapo Desemba 2018 ambapo viwanda vinavyolengwa kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda ni:
Mpango huo umekwisha wasilishwa katika Kamati ya Huduma za jamii na kuridhiwa na utawasilishwa katika Baraza la Madiwani Mpango ambapo utajadiliwa na kuidhinishwa ili uanza kutumika rasmi.
Aidha Mpango huo umeandaliwa kufuatia, Serikali kufanya uzinduzi rasmi wa Mkakati wa uanzishwaji wa viwanda 100 vidogo na vya kati kila Mkoa chini ya Kauli Mbiu ‘MKOA WETU VIWANDA VYETU’ tarehe 09/11/2017 iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI).
PAKUA MPANGO HAPA : MPANGO WA KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA II.pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.