Chuo Cha Mipango Chini ya Mradi wa LoCAL unaofadhiliwa na Shirika la Mitaji na Maendeleo la Umoja wa Taifa (UNCDF) kimefanya kikao kazi Cha kujengeana Uwezo na kufanya tathmini ya Utekelezaji wa Mpango mkakati wa Halmashauri (SP) Novemba 11,2025 katika Ukumbi wa halmashauri.
Kikao hicho kimelenga kuelezea kwa kina Maandalizi ya uandaaji wa Mpango mkakati Mpya wa Halmashauri unaotegemewa kuwa na Masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na namna ya kukabiliana nayo.






Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.