Baraza la Watumishi la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo imefanya kikao cha kujadili mapendekezo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri. Katika kupitika bajeti hiyo Wenye Viti wa vyama vya Wafanyakazi, Wawakilishi wa taasisi, wakuu wa idara na wawakilishi wa idara wamehudhuria.
Mwenyekiti wa Kikao Ndugu. Khamlo Njovu ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amewapitisha wajumbe katika bajeti hiyo ukurasa mmoja mmoja ambapo wajumbe wamepongeza kuwa bajeti ya mwaka huu angaliu imegusa maeneo muhuimu ya mahitaji ya watumishi.
Pakua Mapendekezo ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/2021.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.