Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa yapewa Gari Jipya la Kubebea wagonjwa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imepewa Gari Jipya la Kubebea wagonjwa, Gari hilo Jipya ambalo limetembea km 26 tu tangu kutengenezwa kwake limetolewaa kwaajili ya kituo cha Afya Rudi.Halmashauri inatoa shukrani zake za Dhati kwa Serikali hususani, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Boniphace Simbachawene kwa jitihada za kuhakikisha kuwa gari la wagonjwa linapatikana na kuwasaidia wananchi wanaosafiri umbali mrefu katika kutafuta huduma za Afya.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.