Afisa Tathmini na ufuatiliaji Miradi ya kiaendeleoe Nd.Said Mghenyi amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi mbali mbali ya Shule za Sekondari na kukagua Shule ya Sekondari Kimaghai 'A' Sijila,Simbachawene na Mbuyuni ili kuweza kuafanya tathmini ya kazi hizo na hatua iliyofikia ya ujenzi.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.