Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh Dkt Sophia Kizigo ameongoza kikao cha uwasilishwaji wa utekelezaji wa Mkata wa lishe kilichofanyika Agosti 28,2025.
Katika kikao hicho Afisa Lishe Wilaya Ndg Eliwaza Ndau aliwaailisha taarifa ya utekelezaji wa utendaji kazi wa mkataba wa lishe kwa kipindi cha Aprili_Juni 2025.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe mbali mbali wakiwemo Watendaji kata na Wakuu wa Idara na Vitengo katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.