Afisa Lishe Wilaya ya Mpwapwa Ndg Eliwaza Ndau akiendelea kutoa huduma za afya ya Lishe kwa Wananchi mbali mbali waliofika kutembelea banda la Halmashauri ya Mpwapwa na kujipatia huduma nyengine mbali mbali za ununuzi wa bidhaa kama vile asali,mboga mboga,viungo vya kupikia,maharagwe,mchele na vyenginevyo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.