Tuesday 21st, January 2025
@Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa
Siku ya Unyonyeshaji Dunia hufanyika kila Mwaka kuanzia tarehe 1 Agosti hadi 7 Agosti. Kwa mwaka huu sherehe hizi zitafanyika katika viwanja vya hospitali ya wilaya ya Mpwapwa ambapo wazazi watapatiwa mafunzo ya jinsi ya kuwalea watoto wao katika malezi bora.
Katika sherehe hizi mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Jabir Shekimweri, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.
Hivyo wazazi, walezi na wananchi kwa ujumla mnakaribishwa.
Kauli mbiu ya mwaka huu “UNYONYESHAJI WA, MAZIWA YA MAMA NI MSINGI WA MAISHA YA MTOTO”
"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.