Tuesday 21st, January 2025
@UKUMBI WA HALMASHAURI
Baraza la Madiwani robo ya nne ambalo ndio lakufunga mwaka limefanyika Septemba 8 2023 .
Katika baraza hilo mambo mbalimbali ya kijamii yamewasilishwa likiwemo suala la upatikanaji wa maji Vijijini na Mjini,katika uwasilishaji wake Mhandisi Cyprin Warioba amelieleza baraza namna gani wameandaa mikakati ya kufanikisha huduma ya maji katika vijiji vyote vya Mpwapwa ikiwa mpka sasaivi imefikiwa Asilimia 66, na pia ameeleza baadhi ya mikakati hiyo ni kutumia vyanzo vya maji asili,kutumia vizuri bajeti ya mwaka ya Serikali na kuendelea kutafuta wadhamin
Pia mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.George Fuime amewataka Madiwani na wakuu wa Idara na Vitengo kuendelea kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuweza kufikia lengo la kuengeza mapato ya Halmashauri yetu.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.