Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wasio na Vitambulisho vya NIDA na wenye vitambulisho hivyo vilivyotofautiana na majina yao katika taarifa za utumishi wafike Ofisi ya Utumishi - Mpwapwa kabla ya June 21, 2019. Pia orodha ya watumishi wenye matatizo ya uhakiki imepelekwa kwa wakuu wenu wa idara, tafadhali wasilianeni nao.