Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imetenga Fedha kutoka kwenye Bajeti yake kwa ajili ya Manunuzi mbalimbali ya Kazi, Vifaa na Huduma kwa kipindi cha Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anakaribisha maombi kutoka Makampuni, Vikundi na Wananchi wenye sifa na uwezo wa kutekeleza zabuni mbalimbali kama ifuatavyo;-
Pakua hapa Orodha ya Zabuni Mbali mbali : TANGAZO LA ZABUNI 2017-2018.pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.