Kutakuwa na kikao cha Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango kitakachofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri tarehe 30.03.2017 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Zingatieni Muda na ujumbe huu mfikishie na Mwenzio
Imetolewa na
Utawala.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.