Kutakuwa na kikao cha Dharula kwa wakuu wa Idara kitakachofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri tarehe 27.03.2017 kuanzia saa1.30 Asubuhi. Zingatieni Muda na ujumbe huu mfikishie na Mwenzio
Imetolewa na
Utawala.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.